MADRID WAMTENGEA KANE PAUNI MIL 177

MADRID WAMTENGEA KANE PAUNI MIL 177

536
0
KUSHIRIKI

MADRID, Hispania

TIMU ya Real Madrid inasemekana kutenga pauni milioni 177 kwa ajili ya kumsajili straika wa Tottenham, Harry Kane.

Kwa mujibu wa jarida la Don Balon, mabingwa hao wa Hispania na Ulaya tayari wameshaanza kumshawishi nyota huyo mwenye umri wa miaka 24.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU