MAN UTD ASILIMIA 100 KWA OZIL

MAN UTD ASILIMIA 100 KWA OZIL

1336
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

TIMU ya Man United imesema kuwa ina uhakika kwa asilimia 100 ya kumnasa nyota wa Arsenal, Mesut Ozil, pindi mkataba wake utakapomalizika.

Gazeti la Independent liliripoti jana kuwa mkataba wa Mjerumani huyo unamalizika mwishoni mwa msimu huu na huenda akaitosa Gunners.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU