KANE NJIA NYEUPE MADRID MADRID, HISPANIA

KANE NJIA NYEUPE MADRID MADRID, HISPANIA

957
0
KUSHIRIKI

 

STRAIKA wa Tottenham, Harry Kane, ni kama njia nyeupe kwenda kujiunga na Real Madrid, baada ya kusema kuwa hawezi kukataa kwenda kujiunga na klabu yoyote ya Hispania.

Gazeti la The Express liliripoti jana kwamba, vinara hao wa soka ULaya ndio wanaomfukuzia kwa karibu.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU