OZIL AKIMBIWA KISA MSHAHARA

OZIL AKIMBIWA KISA MSHAHARA

1346
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

KIUNGO wa Arsenal, Mesut Ozil, atabaki Arsenal kwani klabu nyingi hazimtaki.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 28, anataka mshahara wa pauni 330,000 kwa wiki lakini klabu nyingi zimekataa.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU