SWAGA ZA VANESSA MDEE ZAMKOSHA JANJARO

SWAGA ZA VANESSA MDEE ZAMKOSHA JANJARO

836
0
KUSHIRIKI

Na BRIGHITER MASAKI

Rapa mdogo kutoka tip top connection, abdulaziz chende ‘dogo janja’, amesema anakoshwa na swaga za msanii, vanessa mdee, kutokana na anavyojiweka kistaa.

Janjaro anayefanya vyema na wimbo wake wa ngarenaro, ameliambia papaso la burudani kuwa vanessa mdee anajua kuvaa na kupendeza kutokana na mazingira ambayo yupo jambo linalowashinda mastaa wengi wa kike.

“kiukweli huwa nazimia sana swaga za vee money, anajua kuvaa na kupendeza  na kuna wakati huwa  natamani mastaa wa kike wote wavae na kutupia  pamba kama yeye,” alisema dogo janja.

 

 

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU