COMING SOON

COMING SOON

1656
0
KUSHIRIKI

NA KYALAA SEHEYE

MR KIONGOZI- Filamu hii ambayo inatarajiwa kutoka Jumatatu ya wiki ijayo, inamhusu mtu (Hashimu Kambi) ambaye amepewa uongozi na kujisahau kwamba cheo ni dhamana na kujikuta kila mtu akimlalamikia kutokana na tabia zake mbaya.

Imechezwa na Jennifer Kyaka, Jackline Wolper, Hashim Kambi, Hemed Suleiman, Mike Sangu na wengine wengi.

 

 

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU