RONALDO AMWITA RASHFORD MADRID

RONALDO AMWITA RASHFORD MADRID

1264
0
KUSHIRIKI

MADRID, Hispania

STRAIKA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amesema kwamba angependa kuona nyota wa Man Utd, Marcus Rashford, akitua kwenye klabu hiyo ya Bernabeu.

Kwa mujibu wa mtandao wa Don Balon, Mreno huyo anamzimia kinda huyo mwenye umri wa miaka 19 kutokana na uchezaji wake.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU