BARCELONA WAMTAKA LEMAR WA MONACO

BARCELONA WAMTAKA LEMAR WA MONACO

455
0
KUSHIRIKI

CATALUNYA, Hispania

BARCELONA wamejitosa kwenye mbio za kumfukuzia winga wa Monaco, Thomas Lemar.

Timu hiyo inataka kumchukua nyota huyo wakati wa usajili wa majira ya kiangazi.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU