GUARDIOLA KUMCHUKUA STRAIKA LEWANDOWSKI

GUARDIOLA KUMCHUKUA STRAIKA LEWANDOWSKI

873
0
KUSHIRIKI

MANCHESTER, England

MANCHESTER City wanaitaka huduma ya mpachikaji mabao wa Bayern Munich, Robert Lewandowski.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 29, anataka kuondoka Bayern na Guardiola ameonesha kuvutiwa naye.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU