LLORENTE ACHEKELEA OFA YA KUTUA SPURS

LLORENTE ACHEKELEA OFA YA KUTUA SPURS

556
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

STRAIKA wa Tottenham, Fernando Llorente, amesema asingeweza kukataa ofa ya kujiunga na timu kubwa kama hiyo.

Llorente alisema alipewa mkataba mpya Swansea City lakini alivutiwa kutua Spurs.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU