MADRID WAJIPANGA KUMBEBA SANCHEZ

MADRID WAJIPANGA KUMBEBA SANCHEZ

870
0
KUSHIRIKI

MADRID, Hispania

REAL Madrid wameanza mazungumzo ya kumsajili straika wa Arsenal, Alexis Sanchez ili wamchukue Januari.

Hata hivyo, kuna taarifa kuwa kuna baadhi ya mastaa wa Madrid hawataki mchezaji huyo asajiliwe.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU