MADRID WAMGEUKIA MATA

MADRID WAMGEUKIA MATA

491
0
KUSHIRIKI

MADRID, HISPANIA

Timu ya Real Madrid inasemekana kuwa na mpango wa kumsajili kiungo wa  Man United, Juan Mata.

Taarifa zinaeleza kuwa vinara hao  wanapanga kumchukua staa huyo  dirisha dogo likapofunguliwa mapema Januari mwakani.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU