MARI AWINDWA NA VIGOGO EPL

MARI AWINDWA NA VIGOGO EPL

859
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

BEKI wa Manchester City, Pablo Mari, anaripotiwa kuwindwa na klabu kadhaa za Ligi Kuu England zikitaka huduma yake kuanzia Januari mwakani.

Gazeti la Daily Mail liliripoti jana kuwa vigogo hivyo vimefikia hatua hiyo, baada ya kumuona akifanya vizuri na timu ya NAC Breda anakokipiga kwa mkopo.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU