WENGER AMFUNGULIA MLANGO OZIL

WENGER AMFUNGULIA MLANGO OZIL

768
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger, ameifungulia mlango Manchester United iweze kumchukua nyota wake, Mesut Ozil, ifikapo Januari mwakani.

Kiungo huyo Mjerumani atakuwa nje ya mkataba ifikapo mwishoni mwa msimu huu na taarifa zinaeleza Jose Mourinho anataka kuungana na nyota wake huyo wa zamani wakiwa Real Madrid.

 

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU