WILSHERE SASA ATAKIWA REAL BETIS

WILSHERE SASA ATAKIWA REAL BETIS

391
0
KUSHIRIKI

KIUNGO wa Arsenal, Jack Wilshere, anaripotiwa kuwindwa na timu ya Real Betis ya nchini Hispania.

Gazeti la Daily Mail liliripoti jana kwamba miamba hao wa soka wana uhakika wa kumshawishi kwa kumlipa mshahara wake wa pauni 90,000 kwa wiki ili Gunners iweze kumwachia.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU