MNAKUM AIAMINIA ‘TANGULIA MBELE’

MNAKUM AIAMINIA ‘TANGULIA MBELE’

386
0
KUSHIRIKI

NA CHRISTOPHER MSEKENA

SIKU chache baada ya mwimbaji wa nyimbo wa Injili, Godfrey Mnakum, kutoa wimbo wake, Tangulia Mbele, amesema ana matumaini utamtambulisha vyema kwenye tasnia.

Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Mnakum alisema ana imani na wimbo huo kumtambulisha vyema kwa sababu una tungo zinazohitajika na mashabiki wa Gospo.

“Najiamini zaidi katika utunzi, nina tungo ambazo zimebeba ujumbe mzuri ambazo zimewabariki wengi, naamini utanifungulia njia kwenye tasnia ya muziki wa Injili,” alisema Mnakum.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU