LIL WAYNE MBIONI KUIACHIA ‘DEDICATION 6’

LIL WAYNE MBIONI KUIACHIA ‘DEDICATION 6’

404
0
KUSHIRIKI
LAS VEGAS, NV - SEPTEMBER 06: Rapper Lil' Wayne waits to perform at Foxtail Pool at SLS Las Vegas on September 6, 2015 in Las Vegas, Nevada. (Photo by Ethan Miller/Getty Images)

NEW YORK, Marekani

MKALI wa hip hop, Lil Wayne, amewatonya mashabiki wake kuwa hivi karibuni atawatupia albamu yake ya ‘Dedication 6’.

Lila Wayne aliwaambia mashabiki wake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram na wengi wao walionesha furaha isiyo ya kifani.

“Nafurahi kuona mashabiki wangu wakinivumilia katika muda wote huu wa kupambana na hii kazi. Nisiwapotezee muda wenu, mzigo unashuka hivi karibuni. Ahsanteni.”

Taarifa hiyo ya Wayne ilikuja muda mfupi baada ya meneja wake, Cortez Bryant, kusema kwamba Dedication 6 ingekuja mwezi huu.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU