ALLARDYCE KUNG’OA STRAIKA WATFORD

ALLARDYCE KUNG’OA STRAIKA WATFORD

151
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

KOCHA wa Everton, Sam Allardyce, amepanga kuhakikisha anamnasa straika  wa timu ya Watford, Troy Deeney.

Mtandao wa ESPN uliripoti jana kwamba, kocha huyo atakamilisha mkakati huo wakati dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa mapema Januari mwakani.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU