ARSENAL YAMWANIA STAA N’ZONZI

ARSENAL YAMWANIA STAA N’ZONZI

242
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

TIMU ya Arsenal inasemekana kuwa na mpango wa kumwania kiungo wa  Sevilla, Steven N’Zonzi.

Taarifa zinaeleza kuwa Gunners wameamua kufanya hivyo baada ya nyota huyo wa zamani wa timu za Blackburn na Stoke City,     kushindwa kuelewana na kocha wake, Eduardo Berizzo.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU