CEBALLOS AZIINGIZA VITANI ARSENAL, TOTTENHAM

CEBALLOS AZIINGIZA VITANI ARSENAL, TOTTENHAM

256
0
KUSHIRIKI

LONDON,   England

TIMU za Arsenal na Tottenham zinasemekana kuwa katika vita ya kumwania staa wa Real Madrid, Dani Ceballos.

Taarifa zinaeleza kuwa kwa sasa kiungo huyo hataki kuendelea kuwatumikia vinara hao wa Hispania.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU