MADRID KUJARIBU TENA KWA ICARD

MADRID KUJARIBU TENA KWA ICARD

210
0
KUSHIRIKI

MADRID,    Hispania

TIMU ya Real Madrid inajiandaa kuijaribu tena Inter Milan ili kuona kama itaweza kumsajili straika wao, Mauro Icardi.

Hatua hiyo imekuja baada ya Rais Florentino Perez na kocha wao,  Zinedine Zidane, kukubaliana kwamba ni lazima Januari wapate straika mpya.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU