KIPA ATLETICO ATAKIWA ARSENAL

KIPA ATLETICO ATAKIWA ARSENAL

424
0
KUSHIRIKI

LONDON, England


 

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger, ametajwa kuitaka huduma ya kipa wa Atletico Madrid, Jan Oblak.

Nyota huyo pia anaitoa udenda klabu tajiri ya PSG ambayo iko tayari kumwachia Javier Pastore.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU