MOURINHO AMPIGIA HESABU ICARDI

MOURINHO AMPIGIA HESABU ICARDI

535
0
KUSHIRIKI

MANCHESTER, England


 

JOSE Mourinho amedai kuwa angependa kuwa na mchezaji wa kiwango cha aina ya straika wa Inter Milan, Mauro Icardi.

Siku chache zilizopita, kocha huyo raia wa Ureno alisema atanunua mpachikaji mabao mpya hapo Januari.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU