ARSENAL WAJITOSA KWA AUBAMEYANG

ARSENAL WAJITOSA KWA AUBAMEYANG

251
0
KUSHIRIKI
LONDON, England

TIMU ya Arsenal imeamua kujitosa katika vita ya kumwania straika Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang.

Gazeti la The Sun linaeleza kuwa  Arsenal wanamtaka, Aubameyang, ili aweze kuziba pengo la Alexis Sanchez.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU