INTER MILAN WAMTAKA MATA

INTER MILAN WAMTAKA MATA

230
0
KUSHIRIKI
ROMA, Italia

TIMU ya Inter Milan imesema kwamba, inataka kumsajili kiungo wa Man Utd, Juan Mata, katika dirisha dogo la usajili la mwezi huu.

Kiungo huyo atakuwa nje ya mkataba ifikapo mwishoni mwa msimu huu.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU