LEMAR KUMRITHI PHILIPPE COUTINHO

LEMAR KUMRITHI PHILIPPE COUTINHO

421
0
KUSHIRIKI
LONDON, England

TIMU ya Liverpool inasemekana kutenga fungu la pauni milioni 90 kwa ajili ya kumsajili kiungo wa AS Monaco, Thomas Lemar.

Taarifa zinaeleza Reds wanamwona staa huyo ndiye ataweza kuziba pengo la nyota wao, Philippe Coutinho.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU