SPURS WAWEKA NGUMU KWA KANE

SPURS WAWEKA NGUMU KWA KANE

349
0
KUSHIRIKI
LONDON, England

TIMU ya Tottenham imesema itamfanya  nyota wake, Harry Kane, kuwa mchezaji anayelipwa bei kubwa katika michuano ya Ligi Kuu England.

Gazeti la Daily Mail liliripoti kwamba, Spurs watamlipa pauni 200, kwa wiki.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU