ARSENAL WAGANDA KWA AUBAMEYANG

ARSENAL WAGANDA KWA AUBAMEYANG

262
0
KUSHIRIKI
LONDON, England

TIMU ya Arsenal bado imeendelea na mchakato wake wa kumfukuzia straika Borussia Dortimund, Pierre-Emerick Aubameyang.

Gunners wanamtaka staa huyo ili aweze kuziba pengo la nyota wao, Alexis Sanchez, kama atakwenda kujiunga na Man City.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU