EVERTON YAJITOSA KUMWANIA WALCOTT

EVERTON YAJITOSA KUMWANIA WALCOTT

126
0
KUSHIRIKI
LONDON, England

TIMU ya Everton imejitosa katika mbio za kumwania straika wa Arsenal, Theo Walcott.

Staa huyo pia anawindwa na klabu yake ya zamani ya Southampton na kwamba  Gunners wanajiandaa kutaka pauni milioni 30 ili wamwachie.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU