NABY KEITA ANUKIA LIVERPOOL

NABY KEITA ANUKIA LIVERPOOL

254
0
KUSHIRIKI
MUNICH, Ujerumani

TIMU ya RB Leipzig inasemekana kuwa mbioni kumruhusu kiungo wake, Naby Keita akajiunge na Liverpool.

Reds walikuwa wamsajili nyota huyo majira ya joto yajayo kwa pauni milioni 48, lakini sasa dili linaweza kukamilika mwezi huu.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU