BAYERN WAMTAKA MKOREA WA SPURS

BAYERN WAMTAKA MKOREA WA SPURS

4120
0
KUSHIRIKI

MUNICH, Ujerumani


TIMU ya Bayern Munich inaripotiwa kuanza kumfukuzia nyota wa  Tottenham, Hueng-min Son.

Gazeti la The Sun liliripoti jana kwamba mabingwa hao wa Bundesliga wameanza mkakati huo baada ya kuona anaweza asiende kulitumikia Jeshi la Korea Kusini.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU