AC MILAN YAWEKA NGUMU KWA SUSO

AC MILAN YAWEKA NGUMU KWA SUSO

638
0
KUSHIRIKI
MILAN,  Italia

TIMU ya AC Milan imesema haina mpango wa kumuuza kiungo wake,  Suso, hata kama timu zinazomtaka zitafikia pauni milioni 71.

Kwa sasa staa huyo anawindwa na klabu mbalimbali Ulaya zikiwamo za England.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU