ARSENAL YAMTOLEA UVIVU AARON RAMSEY

ARSENAL YAMTOLEA UVIVU AARON RAMSEY

3225
0
KUSHIRIKI

LONDON, England


 

KLABU ya Arsenal sasa imeamua kuivunja rasmi ndoa yao na kiungo Aaron Ramsey, kwa kumweleza wazi nyota huyo kwamba anaweza kuondoka.

Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa mtandao wa Daily Mail, na huenda ikaziamsha timu kubwa England zinazomhitaji raia huyo wa Wales.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU