BAILEY ACHOMOA KUJIUNGA NA PSG

BAILEY ACHOMOA KUJIUNGA NA PSG

3963
0
KUSHIRIKI

MUNICH, Ujerumani


 

STAA wa Bayer Leverkusen, Leon Bailey, amesema hafikirii kujiunga na matajiri wa soka la Ufaransa, PSG.

Mwezi uliopita, winga huyo alisaini mkataba wa muda mrefu na Leverkusen licha ya kuwaniwa na klabu kadhaa Ulaya.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU