LONDON, England
TIMU ya Chelsea bado inahangaika kusaka straika wakati wa dirisha hili dogo la usajili.
Taarifa zinaeleza kwamba kwa sasa vinara hao wanawafukuzia mastaa kadhaa akiwamo wa West Ham, Andy Carroll.