DE GEA AAMSHA HOFU MAN UTD

DE GEA AAMSHA HOFU MAN UTD

4724
0
KUSHIRIKI

 

MANCHESTER, England


 

 

MLINDA mlango wa klabu ya Man United, David De Gea, anaamini kuwa huu ndio wakati mzuri wa kuondoka, kwani haamini kama atafanikiwa kunyakua taji la Ligi Kuu England tena.

Kutokana na hilo, De Gea anafikiria kuhamia PSG huku Real Madrid nao wakitajwa huenda wakamsajili, ingawa bado hawajatoa ofa.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU