DJUMA AMNG’OA PIERRE

DJUMA AMNG’OA PIERRE

6532
0
KUSHIRIKI

ZAINAB IDDY NA ALLY KAMWE, NAKURU

*Wekundu wa Msimbazi watinga fainali SportPesa wakiichapa Kakamega penalti 5-4

* Mkude, Niyonzima ‘bab kubwa’, Salamba noma

KAULI ya Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma, kuwa timu hiyo ilicheza vibaya katika mchezo wao dhidi ya Kariobangi Sharks wa michuano ya SportPesa Super Cup inayoendelea mjini Nakuru, Kenya, imesitisha kibarua cha bosi wake, Pierre Lechantre.

Katika mchezo wao huo wa kwanza wa michuano hiyo mjini Nakuru, Djuma alidai Simba haikucheza katika kiwango chake, japo walitinga nusu fainali kwa ushindi wa penalti 3-2, baada ya timu hizo kutoka suluhu.

Djuma alisema: “Kila mmoja anajua mechi yetu ya kwanza hatukucheza vizuri, kama inavyotambulika Simba iliyochukua ubingwa katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

“Benchi la ufundi tumeliona hilo na tumekaa na wachezaji, tuna uhakika mchezo wa kesho (jana dhidi ya Kakamega) hali ile haitajirudia tena, tunahitaji kuona Simba ya ushindani.”

Kauli hiyo ilionekana kumkera mno Pierre……..

Kwa habari kamili jipatie nakala ya gazeti lako la BINGWA hapo juu

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU