ETI ‘AUBA’, ARSENAL KIMEELEWEKA BWANA

ETI ‘AUBA’, ARSENAL KIMEELEWEKA BWANA

2947
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

DILI la staa wa Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang, kwenda Arsenal linakaribia kuiva baada ya Arsene Wenger kumpangia mechi ya kwanza.

Inadaiwa Wenger amempangia staa huyo mechi yake ya kwanza iwe ni dhidi ya  Swansea City.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU