GUARDIOLA BADO ASAKA KIUNGO

GUARDIOLA BADO ASAKA KIUNGO

5777
0
KUSHIRIKI

LONDON, England


 

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amesema kwamba bado anasaka kiungo wa kusajili kabla dirisha la usajili halijafungwa.

Mpaka sasa kocha huyo ameshashindwa kuwanasa Fred na Jorginho na sasa anasaka mwingine ambaye atashindania namba na Fernandinho.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU