INJANJA NGOMA YA WAPARE KUTAFUTA WACHUMBA

INJANJA NGOMA YA WAPARE KUTAFUTA WACHUMBA

5419
0
KUSHIRIKI

NA KYALAA SEHEYE


 

INJANJA ni ngoma maalumu kwa ajili ya vijana  wa jinsia zote kutafuta wachumba.

Ngoma hii huchezwa sana kipindi cha mavuno na harusi na uchezaji wake ni wa kurukaruka wakiwa mduara, huku wakiingia kwenye duara hilo watu wawili wawili na kucheza.

Taratibu za kuingia katika duara hilo, mtu huenda kumwinamia mtu unayetaka kuingia naye na kumuomba kucheza.Katika ngoma hiyo, chakula aina ya kishumba (mchanganyiko wa viazi vitamu, ndizi mshale na maharage) hupikwa, pamoja na pombe ya dengelua (mchanganyiko wa ndizi na vitu mbalimbali).

 

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU