INTER WAPANIA KWA HERRERA

INTER WAPANIA KWA HERRERA

4446
0
KUSHIRIKI

MILAN, Italia


 

INTER Milan wamejipanga kuhakikisha wanainasa huduma ya kiungo hatari wa Porto, Hector Herrera.

Herrera (28) ametajwa kutokuwa na nia ya kuongeza mkataba katika klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Ureno.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU