KUMBE ZLATAN HACHEZI KOMBE LA DUNIA

KUMBE ZLATAN HACHEZI KOMBE LA DUNIA

4686
0
KUSHIRIKI

 

STOKHOLM, Sweden


 

 

NYOTA wa LA Galaxy, Zlatan Ibrahimovic, anatarajiwa kutua katika michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuchezwa nchini Urusi mapema mwezi ujao, lakini hatacheza akiwa na timu yake ya Taifa ya Sweden.

Imebainika kuwa taarifa za Ibrahimovic kutamba kwamba atashiriki kwenye fainali hizo, zilikuwa ni kwa ajili ya matangazo tu.

Kampuni ya Visa ambayo pia ni wadhamini wa mashindano hayo, imeamua kumtumia straika huyo katika kampeni yao ya kuwahimiza mashabiki wa soka watakaohudhuria fainali hizo, kufanya malipo yao kwa kutumia mtandao.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU