MAN CITY WAMTOLEA MACHO ALCANTARA

MAN CITY WAMTOLEA MACHO ALCANTARA

7412
0
KUSHIRIKI
MANCHESTER, England   | 

MABINGWA wapya wa Ligi Kuu ya England, Manchester City, wametenga euro milioni 50 kumsajili, Thiago Alcantara.

Kiungo huyo aliwahi kufanya kazi na Pep Guardiola mara mbili alipokuwa na Barcelona.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU