MAN UTD KUMPIGA ‘KITANZI’ DE GEA

MAN UTD KUMPIGA ‘KITANZI’ DE GEA

707
0
KUSHIRIKI
LONDON,   England

TIMU ya Man United inasemekana kuwa tayari kumpa mkataba mpya mlinda mlango wake, David de Gea, ambao utamfanya amalizie kibarua chake kwenye klabu hiyo.

Real Madrid ndio walikuwa wakimfukuzia kwa muda mrefu.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU