MAN UTD KUNG’OA KIUNGO ANDERLECHT

MAN UTD KUNG’OA KIUNGO ANDERLECHT

712
0
KUSHIRIKI
LONDON, England

TIMU ya Man United imesema ipo tayari kutoa pauni milioni 27 ili kumnasa kiungo wa Anderlecht, Leander Dendoncker.

Taarifa zinaeleza kuwa mashetani hao wekundu wanamtaka staa huyo kuanzia mwezi huu.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU