MAN UTD WAMKALISHA KITAKO DE GEA

MAN UTD WAMKALISHA KITAKO DE GEA

1510
0
KUSHIRIKI

LONDON,   England

TIMU ya Man United imemkalisha kitako mlinda mlango wao, David de Gea, ili ione kama itampa mkataba mpya.

Mkataba wa sasa wa De Gea unamalizika mwakani na Man Utd wanataka kumwongezea mwaka mmoja mwingine………..

kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya BINGWA.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU