MAN UTD YATAKA WAWILI KWA MPIGO

MAN UTD YATAKA WAWILI KWA MPIGO

5738
0
KUSHIRIKI

LONDON, England

TIMU ya Manchester United inaripotiwa kujiandaa kuvunja rekodi ya usajili kuwanasa nyota wa Leicester City, Harry Maguire na wa Bayern Munich, Jerome Boateng.

Taarifa zinaeleza, tayari mkakati huo ushaiva na muda wowote itawasilisha ofa.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU