MILAN WAMVUTIA KASI FABREGAS

MILAN WAMVUTIA KASI FABREGAS

3734
0
KUSHIRIKI

MILAN, Italia


 

UONGOZI wa AC Milan unajadili uwezekano wa kumsajili mido wa kimataifa wa Hispania, Cesc Fabregas.

Fabregas mwenye umri wa miaka 31, amekuwa akitakiwa Milan kwa muda mrefu, tangu akiwa mchezaji wa Arsenal.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU