MINA MAMBO SAFI EVERTON

MINA MAMBO SAFI EVERTON

5533
0
KUSHIRIKI

LONDON, England


 

TIMU ya Everton inaripotiwa kuingia makubaliano na Barcelona kwa ajili ya kumsajili beki wao wa kati, Mcolombia,  Yerry Mina.

Taarifa zinaeleza kuwa vinara hao wa soka England wamekubali kutoa pauni milioni 28.5 na watampa mkataba wa miaka mitano.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU