MKHITARYAN KUMRITHI SANCHEZ ARSENAL

MKHITARYAN KUMRITHI SANCHEZ ARSENAL

754
0
KUSHIRIKI
LONDON,   England

TIMU ya Arsenal ina mpango wa kumsajili kiungo wa Man United, Henrikh Mkhitaryan.

Gunners wanamtaka staa huyo kama sehemu ya mkataba endapo Sanchez atakwenda Old Trafford.

HAKUNA MAONI

ACHA JIBU